Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Afrika Kupewa Nafasi Saba Kwenye Kombe La Dunia.

tirage

Rais wa shirikisho la soka duniani Fifa Giani Infantino amesema kuwa Afrika itapewa nafasi 7 katika upanuzi wa timu zitakazoshiriki katika kombe la dunia 2026.

Infantino amesema kuwa shirikisho hilo limeongeza uwekezaji wake Afrika kutoka dola milioni 27 hadi 94 kwa mwaka ili kusaidia kukuza mchezo huo.

Giani Infantino yuko nchini Ghana kwa ziara ya siku moja.

Amekuwa akikutana na rais Akufo Addo na maafisa wakuu wa shirikisho la soka nchini Ghana kuzungumzia hatua za kukuza soka nchini humo.

Ziara yake ni mojawapo ya ziara za mataifa kadhaa wanachama wa Fifa

The post Afrika Kupewa Nafasi Saba Kwenye Kombe La Dunia. appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of