Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Asilimia kubwa ya wakenya wanahofia kuandika wasia

screen-shot-2017-02-28-at-7-48-58-am

Asilimia kubwa ya wakenya wanahofia kuandika wasia kutokana na tamaduni. Hata hivyo imebainika kuwa migogoro mingi ya kijamii kuhusiana na urithi wa mali inaweza kupunguzwa endapo wakenya wataandika wasia mapema. wakili John Swaka anasema pia wengi hawajapewa uhamasisho kupata ufahamu wa kwanini ni muhimu kuwa na wasia. Amewashauri wakenya kutafuta huduma za mawakili na kuandaa wasia ili kupunguza migogoro ya kijamii kuhusu urithi.

The post Asilimia kubwa ya wakenya wanahofia kuandika wasia appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of