Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Granton Samboja atangaza kuwania ugavana Taita Taveta

Coast Water Service Board chairman Granton Samboja.

Aliyekuwa mwenyekiti wa bodi ya maji Pwani Granton Samboja ametangaza rasmi kuwa atawania ugavana kwa tiketi ya chama cha Wiper.Samboja amesema amefikia uamuzi huo baada ya kufanya mashauriano ya kina na wenyeji wa kaunti ya Taita Taveta.Samboja aidha amesisitiza haja ya viongozi kuendesha siasa ya umoja na amani wala sio kueneza chuki.

The post Granton Samboja atangaza kuwania ugavana Taita Taveta appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of