Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

IEBC imevitaka vyombo vya habari kuripoti matukio ya uchaguzi kwa usawa

IEBC chairman Wafula Chebukati, CEO Ezra Chiloba and ICT manager Chris Msando during a briefing on mass voter registration. Photo/AYUB MUIYURO

Wanasiasa wa mirengo yote ya kisiasa na wale wanaosimama na vyama vidogo wanastahili kupewa nafasi sawa. Ni wito unaotolewa na tume ya IEBC ambayo imetaka vyombo vya habari kuripoti matukio ya uchaguzi kwa usawa. Afisa mkuu mtendaji wa IEBC Ezra Chiloba anasema IEBC itatoa taarifa za kila mara kuhusiana na mipango ya uchaguzi mkuu wa mwezi Agosti. IEBC imesisitiza haja ya wakenya kuwa na imani katika utendakazi wake.

The post IEBC imevitaka vyombo vya habari kuripoti matukio ya uchaguzi kwa usawa appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of