Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

IEBC yaamua kupuuzilia mbali zabuni iliyozongwa na kesi

screen-shot-2017-02-28-at-7-18-06-pm

Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini, IEBC imefutilia mbali zabuni iliyotolewa iliyofaa kufanikisha uagizaji wa mitambo ya kisasa inayotumia teknolojia ya kisasa kufanikisha zoezi zima la uchaguzi nchini.
Mitambo hiyo almaarufu kama Kenya Integrated Election Management System, KIEMS ilifaa kuunganisha mitambo ya usajili wa wapiga kura, ile ya kuwatambua wapiga kura na upeperushaji matokeo baada ya upigaji kura.
Kwa sasa IEBC ipo kwenye njia panda kwani jitihada zake kuu zinapigwa kumbo na mfumo wa mahakama.

The post IEBC yaamua kupuuzilia mbali zabuni iliyozongwa na kesi appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of