Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Jane Kiringai kuapishwa rasmi kama mwenyekiti wa tume ya ugavi wa mapato

Chairperson to the Commission of Revenue Allocation (CRA) Dr Jane Kiringai.

Jane Kiringai anatarajiwa kuapishwa rasmi leo kuwa mwenyekiti wa tume ya ugavi wa mapato CRA. Kiringai atachukuwa mahala pa Mica Cheserem ambaye muhula wake wa miaka sita ulikamilika disemba mwaka jana. Kiringai amewahi kuhudumu pia kama mtaalamu mkuu wa uchumi katika ofisi ya benki ya dunia hapa nchini. Wakati huo naibu jaji mkuu Philomena pia ataapishwa kuwa mwanachama wa tume ya CRA.

The post Jane Kiringai kuapishwa rasmi kama mwenyekiti wa tume ya ugavi wa mapato appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of