Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Jubilee kuunda tume ya kubaini mgombea ugavana wa Nairobi

screen-shot-2017-02-28-at-5-23-01-pm

Chama cha Jubilee kitabuni kundi litakalokuwa na jukumu la kubaini mgombea wake atakayemenyana na gavana wa Nairobi Evans Kidero wa chama cha ODM. Kamati kuu ya Jubilee inasema kundi hilo litajumuisha wanachama kutoka chamani viongozi wa kidini na kutoka kwa jamii ya wafanyibiashara watakabaini mgombea halisi aliye na uwezo wa kumwondoa gavana Kidero.Mwenyekiti wa Jubilee tawi la Nairobi Sunctus Ndegwa anasema hii kufuatia agizo la naibu wa Rais na kuwa iwapo watakakosa kuafikiana basi huenda wakashiriki mchujo wa kumteua mgombea.

The post Jubilee kuunda tume ya kubaini mgombea ugavana wa Nairobi appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of