Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Kikosi Cha Shujaa Cha Tajwa.

dnsportssamurai0410e

Kikosi cha shujaa cha wachezaji saba kila upande kitakachosafiri kwenda marekani kaskazini kwa mkondo wa HSBC Sevens World Series wa Las Vegas, na  Vancouver nchini Canada kimetajwa na mkufunzi Innocent Simiyu.

Oscar Ayodi ameteuliwa kwa mara ya kwanza kikosini msimu huu huku Frank Wanyama anarudi kwa mara ya kwanza tangu mkondo wa dubai na Cape Town wanaziba mapengo ya Brian Tanga na Oscar Ouma.

Oscar na Frank hawajaonyesha kiwango kizuri cha mchezo na mkufunzi Simiyu ameamua kuwatoa kikosini.

Walioteuliwa kwenye kikosi hicho ni kama ifatavyo:
The team:Andrew Amonde (KCB, Captain), Willy Ambaka (SportPesa Quins), Dan Sikuta (Kabras Sugar), Frank Wanyama (SportPesa Quins), Bush Mwale (Menengai Cream Homeboyz), Sammy Oliech (Resolution Impala Saracens), Eden Agero (SportPesa Quins), Leonard Mugaisi (Menengai Cream Homeboyz), Augustine Lugonzo (Menengai Cream Homeboyz), Nelson Oyoo (Top Fry Nakuru), Oscar Ayodi,(Menengai Cream Homeboyz), Billy Odhiambo (Mwamba), Collins Injera (Mwamba)

 

The post Kikosi Cha Shujaa Cha Tajwa. appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of