Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Magari 7 yachomwa baada ya watu 2 kuuawa ajalini, Nakuru

screen-shot-2017-02-28-at-7-15-19-pm

Vijana katika eneo la Molo waliteketeza magari kumi na tano ya kampuni moja ya mbao.
Kuchomwa kwa magari hayo yanatokana na madai kuwa moja kati ya magari hayo liligonga watu wawili na kufariki papo hapo walipokuwa kwenye pikipiki.

The post Magari 7 yachomwa baada ya watu 2 kuuawa ajalini, Nakuru appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of