Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Polisi Waendeleza Oparesheni Kuyakabili Makundi Ya Uhalifu Mombasa.

Maafisa wa polisi katika oparesheni ya kiusalama hapa mjini mombasa.

Naibu kamishna wa kaunti Mohamed Salim, anasema makundi hayo kutoka mitaa ya majengo na mji wa kale yamekuwa yakizozana katika siku za hivi karibuni, na kuibua taharuki miongoni mwa wananchi eneo hilo.

Amesema tayari wamewatia mbaroni jumla ya vijana 18 ambao wamekuwa wakihangaisha wananchi eneo hilo, na kwamba wanafanya juhudi zaidi, kuyakabili makundi yote ya uhalifu hasa wakati huu ambapo taifa linajiandaa kwa uchaguzi.

 

The post Polisi Waendeleza Oparesheni Kuyakabili Makundi Ya Uhalifu Mombasa. appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of