Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Serikali yapiga marufuku safari za usiku eneo la Garbatulla

screen-shot-2017-02-28-at-4-58-15-pm

Serikali imeimarisha usalama eneo la Garbatulla ili kudhibiti ongezeko la visa vya utovu wa usalama.Serikali pia imepiga marufuku safari za usiku na kutoa ulinzi kwa magari yanayosafiri kutoka Modogashe kuelekea Garbatulla.Naibu kamishna eneo la Garbatulla Kipchumba Rutto anasema hakuna gari litakaloruhusiwa kusafiri baada ya saa kumi na mbili jioni.Ametaka wazee kutoka jamii zilizoko kaunti ya Garissa kushiriki mazungumzo na wenzao kutoka Isiolo ili kuleta maridhiano.

The post Serikali yapiga marufuku safari za usiku eneo la Garbatulla appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of