Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Shirika la msalaba mwekundu lakubali kurudisha hudma na msaada Baringo

screen-shot-2017-02-28-at-7-25-39-pm

Viongozi kutoka jamii ya Pokot sasa wanataka oparesheni ya usalama inayoendelea kati ya jamii za Pokot na Baringo katika eneo la mipakani mwao kuondolewa wakikisia kuwa inalenga jamii fulani na sasa kutaka mazungumzo yaanzishwe rasmi ili kupata suluhu la kudumu.
Viongozi hao wakiongozwa na seneta wa Pokot magharibi John Lonyangapuo wanamtaka sasa rais Uhuru Kenyata kuingilia kati na kuondoa amri ya naibu rais William Ruto ya lupiga risasi na kuuwawa maharamia wakisema kuwa inalenga jamii ya Pokot na itasababisha vifo vingI haswa iizingatiwa kuwa ni msimu wa kisiasa
Kama anavyotuarifu Angela Cheror , shirika la msalaba mwekundu imeamua kutoa msaaada wa chakula tena kwenye kaunti hio baada ya kusitisha wiki iliyopita.

The post Shirika la msalaba mwekundu lakubali kurudisha hudma na msaada Baringo appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of