Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

SIASA za Mchele 2 : Wakulima bado wanasisitiza ujenzi wa bwawa kukamilishwa, Kirinyaga

screen-shot-2017-02-28-at-7-08-39-pm

Kwenye makala ya Siasa za Mchele,wakulima kutoka sehemu ya Mwea kaunti ya Kirinyaga, wanakumbwa na matatizo kwenye kilimo cha mpunga.
Huku tatizo kuu likiwa ni ujenzi wa bwawa la Thiba, ambalo rais Uhuru Kenyatta hivi maajuzi alikashifu viongozi wa kaunti hiyo kwa kuchelewesha kujengwa kwa bwawa hilo ambalo lingewasaidia na maji ya kutosha, kipindi kama hiki cha kiangazi.
Mwanahabari wetu Kimani Githuku alizuru eneo hilo na kutuandalia taarifa hii.

The post SIASA za Mchele 2 : Wakulima bado wanasisitiza ujenzi wa bwawa kukamilishwa, Kirinyaga appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of