Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Wakaazi Kaunti ya Mombasa waandamana

Bodies found dumped along the road in Lower Kabete

Wakaazi kaunti ya Mombasa wameandamana kulalamikia kisa ambapo msichana wa miaka 22 aliyebakwa na kutupwa katika reli eneo la Kibarani mjini Mombasa. Wenyeji hao wanadai wiki moja tokea kisa hicho kutokea polisi wamefeli kuwanasa waliotekeleza unyama huo. Msichana huyo kwa sasa anapokea matibabu katika hospitali moja mjini Mombasa.

The post Wakaazi Kaunti ya Mombasa waandamana appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of