Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Wazazi wa shule ya msingi ya Nyali walalamikia matokeo ya KCPE 2016

screen-shot-2017-02-28-at-6-34-56-pm

Baraza la mitihani nchini KNEC limepuzilia mbali madai matokeo ya mtihani wa KCPE mwaka jana, hayakusahishwa kwa ufasaha.Hii ni kufuatia kesi iliyowasilishwa katika mahakama ya Mombasa na wazazi waliolalamikia matokeo hayo. KNEC pia imepuzilia mbali uwezekano wa kutumiwa matokeo ya mwaka ulitaanguliwa kuangazia uwezo wa wanafunzi walioshiriki mtihani wa KCPE mwaka jana.Imesema kuwa matokeo ya mwaka jana yaliathirika sana kutokana na sheria kali ziliowekwa kupambana na udanganyifu. KNEC pia ilipinga ombi la kutaka kuwasilisha stakabadhi za matokeo ya mtihani wa KCPE, baada ya baadhi ya wanafunzi wa shule ya kibinafsi ya Nyali kukosa majibu yao.

The post Wazazi wa shule ya msingi ya Nyali walalamikia matokeo ya KCPE 2016 appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of