Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Wenyeji wa Kerio Valley wahama makwao kwa hofu ya usalama

screen-shot-2017-02-28-at-4-48-07-pm

Wenyeji katika eneo la Kerio Valley wameanza kuhama makwao kufuatia agizo lililotolewa na naibu wa Rais William Ruto la kuwaangazia kwa kuwapiga risasi wavamia sehemu hiyo.Shirika la kuhubiri amani na haki huko Eldoret la CJPC linasema mamia ya wenyeji wameelezea hofu kuwa huenda wakaathirika kwenye oparesheni ilioanza hii leo.Shirika hilo linapinga amri ya serikali kuzitaka jamii kuwatambua wahalifu na wezi wa mifugo. CJPC inasema huenda oparesheni hiyo ikaathiri juhudi za kuendesha maridhiano kati ya jamii zilizoko sehemu hiyo.

The post Wenyeji wa Kerio Valley wahama makwao kwa hofu ya usalama appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of