Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

BUNGOMA: Mtahiniwa Wa Kidato Cha Nne Afariki Hospitalini

Mtahiniwa mmoja wa kidato cha nne kutoka shule ya upili ya Mabusi eneo bunge la kanduyi kaunti ya Bungoma amefariki mapema leo katika hospitali ya rufaa ya Bungoma. Kellen Wanyonyi Nekesa mwenye umri wa miaka 22 alifariki muda mchache kabla ya kuanza mtihani wake aliokua akifanyia katika hospitali hio. Afisa mkuu wa matibabu katika hospitali […]

The post BUNGOMA: Mtahiniwa Wa Kidato Cha Nne Afariki Hospitalini appeared first on Radio Jambo.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *