Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Agnes Odhiambo: Kenya imepiga hatua tangu ilipoidhinisha katiba mpya

Kenya imepiga hatua tangu ilipoidhinisha katiba. Kauli hii imetolewa na msimamizi wa bajeti Agnes Odhiambo, anayehoji hatua hizi huenda zikahujumiwa na watu wachache wanaolena kutatiza utendakazi wa taasisi zilizobuniwa kikatiba. Odhiambo anasema ipo haja ya wakenya kuitetea na kuilinda katiba ili kufanikisha hatua hizo.

The post Agnes Odhiambo: Kenya imepiga hatua tangu ilipoidhinisha katiba mpya appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Comments

Be the First to Comment!

avatar
  Subscribe  
Notify of