Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Matiang’i atoa hakikisho kudumishwa usalama mlima Elgon

Posted by on Feb 23, 2018 in All Kenya Today Posts, Job Vacancies | 0 comments

Waziri wa usalama wa ndani dr Fred Matiangi ametoa hakikisho la kudumishwa usalama kote nchini kufuatia kuzuka uvamizi ambao umepelekea...

Read More

Aliyekuwa mbunge Gedion Mwiti ashtakiwa upya kwa madai ya ubakaji

Posted by on Feb 23, 2018 in All Kenya Today Posts, Job Vacancies | 0 comments

Aliyekuwa mbunge wa Imenti ya kati Gedion Mwiti amefikishwa tena mahakamana na kushtakiwa upya kwa madai ya ubakaji, udhalilishaji na...

Read More

Jaji Mkuu David Maraga amkemea wakili Ahmednasir Abdullahi kutokana na mienendo yake

Posted by on Feb 23, 2018 in All Kenya Today Posts, Job Vacancies | 0 comments

Jaji mkuu David Maraga anadaiwa kumkemea wakili Ahmednasir Abdullahi hivi leo kutokana na mienendo yake. Maraga anadai kukerwa na misimamo...

Read More

Serikali yatenga billioni 3.8 kusaidia zaidi ya wakenya milioni 3 wanaokabiliwa na baa la njaa nchini

Posted by on Feb 23, 2018 in All Kenya Today Posts, Job Vacancies | 0 comments

Serikali imetenga shilingi bilioni 3.8 ili kuwasaidia zaidi ya wakenya milioni 3 wanaokabiliwa na baa la njaa nchini. Waziri wa ugatuzi na...

Read More

Waziri Joe Mucheru atetea uamuzi wa serikali kufunga mawimbi ya runinga 3 humu nchini

Posted by on Feb 23, 2018 in All Kenya Today Posts, Job Vacancies | 0 comments

Waziri wa mawasiliano na teknologia ya kisasa Joe Mucheru ametetea uamuzi wa serikali kufunga mawimbi ya runinga 3 za humu nchini. Akifika...

Read More