Pages Navigation Menu

Kenya news, headlines, events , stories, sports and everything

Mabasi 39 ya shirika la NYS kuwasili nchini kurahisisha usafiri

Hatimaye mabasi ya shirika la huduma kwa vijana NYS yanayonuiwa kutumiwa kuwasafirisha abiria jijini Nairobi yanatazamiwa kuwasilishwa humu nchini wakati wowote kuanzia sasa.
Kwa mujibu wa msemaji wa kitengo cha mawasiliano ya ikulu Manoah Esipisu,zaidi ya mabasi 39 yanatazamiwa kuwasili nchini katika awamu ya kwanza.

The post Mabasi 39 ya shirika la NYS kuwasili nchini kurahisisha usafiri appeared first on Mediamax Network Limited.

This post was syndicated from Mediamax Network Limited. Click here to read the full text on the original website.

Follow us on twitter @TodayKenya

Also, Like us on facebook

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *